Mkurugenzi wa Kingdom Media Mr Alex aliyekua Tanzania kwa likizo fupi mwezi wa 8 mwaka huu,aliweza kufanya kazi nyingi za Video Production na waimbaji tofauti tofauti waki wemo Edna Kuja na Lilian Mariki.Hawa ni waimbaji walioingia kwenye tasnia
ya muziki wa injili wakiwa bado wa bichi,na kupitia kampuni ya Kingdom Media waliweza kufanya kazi na muongozaji wa Video mwenye makazi nchini Marekani Mr Alex akishirikiana na wadogozake
Jordan
na Amani .
Nikifanya mazungumzo naye siku ya leo ameijuza Unclejimmytemu.com soon video za waimbaji hawa wa wili zita toka na kwamara ya kwanza utapata kuzitazama kweye kipichi cha CHOMOZA ya Clouds TV.
Lilian Mariki kwenye picha ya kwanza hapo juu anatoka na wimbo 'Damu Ya Yesu' na Bibie Edna Kuja naye anatoka na record ya Amenifuta Machozi.Stay tune mdau wangu mzigo ukitoka utakua wa kwanza kutazama hapa kwa hisani ya Unclejimmytemu.com.
Lilian Mariki kwenye action wakati wa recording
Picha 3 hapo chini ni Bibie Edna Kuja
0 comments: