Saturday, April 7, 2012

NINI CHANZO CHA KIFO CHA KANUMBA.

By Jimmy  |  2:30 PM No comments

hot, hotter, hottest.



aiseee huyu mtoto

hi ma pipo

kama nilivyowaahidi nitawaletea updates sasa Lulu(hot Lulu)yupo kituoni police
na mahututi kwani anamaumivu na majeraha mengi sana usoni,lulu kapasuliwa pia na Kanumba,hawa watu walikuwa wapenzi wa muda mrefu,chanzo ni simu jamani,kanumba aliona lulu anapigiwa simu za kuitwa sana kwenye madili,sasa jamaa(marehemu Kanumba)akashikwa wivu,duuu mapenzi ni hatarii

NATANGAZA KIFO CHA KANUMBA


lulu mdogo wangu
what a tragedy



Dear Wadauzz

nasikitika kutangaza kifo cha Steven kanumba ambaye amefariki leo saa saba ya usiku,maiti ipo Muhimbili hospital.

chanzo cha kifo,inasemekana Lulu na Kanumba were dating secretly,na walikuwa pamoja wakati wa kifo chake,Lulu alimsukuma Kanumba wakiwa katika ugomvi na kanumba akadondoka na kutoa damu na ndipo mauti ilimshika
kwa sasa Lulu yupo Osterbay police.

nitawaletea more updates
ila tusimlaumu Lulu kwani ugomvi katika mapenzi unatokea.

Naomba ujue nilikuwepo eneo la tukio kuanzia Home kupelekamaiti hosp na kurudi kwake Sinza,kwa ujumla sijalala,
ni hilo tuu

Habari hii inatoka katika blog ya.www.prettysintah.blogspot.com

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP