Thursday, June 14, 2012

EXCLUSIVE ENTERVEW - Bahati Bukuku na Maisha ya Mafanikio.

By Jimmy  |  7:33 AM No comments

Nimpole katika uso lakini ni mkali wa Sauti ya besi,Si mwingine ni Bibie Bahati Bukuku ambe leo tumepiga story kuhusu mafanikio yake,wapi alipotoka katika mziki wa Injili na wapi anakwenda.Kwa muda mrefu Bahati Bukuku toka atoe Albamu zake mbili amekuwa kimya kiasi cha mashabiki wake kudhani ameishiwa mashairi.

Blog ilifunga safari hadi nyumbani kwake Bunju kutaka kujua yuko wapi sasa na anafanya nini muda wote aliokaa kimya.Majira ya Saa tatu asubuhi nachukua simu yangu ya Mkononi nakumtafuta.

Uncle Jimmy-Reeee reeeee reeee

Bahati Bukuku-Haloo haloo.

Unce Jimmy-Nakusikia Bahati Bukuku

Bahati Bukuku-Halooo

Uncle Jimmy-Habari za siku mtumishi

Bahati Bukuku-Ni nzuri Uncle Jimmy.

Uncle Jimmy-Leo nataka kuja kwako kuzungumza na wewe,umekuwa kimya sana.

Bahati Bukuku-Ahaa leo niko busy any way muda gani.

Uncle Jimmy-Mtumishi ikiwezekana muda huu.

Bahati Bukuku-Ok Chukua TX apo ulipo then njoo mpaka Tabata Migombani mimi nitailipia naomba ufanye araka kwakua naitajika Kariako kwa waindi.

Uncle Jimmy-Ok sawa,mimi nilijuwa uko Bunju.

Bahati Bukuku-Nilikuwa uko lakini asubui sana nimetoka niko uku na mgonjwa.So ukifika niambie mana nipo ka-salon flani najiweka sop ilinitoke pouwa.

Uncle Jimmy-Ahaaa haya bwana.Akuna shaka nitakukuta apo sio.

Bahati Bukuku-Ndio Jimmy.
Akiwa anatengenezwa nywele Salon.
Baada yakutoka hapa tulielekea tabata migombani kwenye maojiano na mimi.Twende sawa na maojiano yangu siku ya leo.

Bahati Bukuku kwa sasa amejikita katika Ujasiliamali,maisha yake asilimia 70 yapo katika kulima nakuwekeza.Mungu amempatia mafanikio makubwa ambayo yeye mwenyewe anasema hapo zamani aikuwa ivyo kama sasa.

Kwa sasa anamiliki Nyumba {4} alizo jenga mwenyewe,mbili Tabata Migombani,moja Bunju nyingine Mbezi beach.Ana mashamba {4} Kitunda,Bunju,Kibaha na Mbeya.Mashamba hayo yana takribani ekari 2 mpaka 5.Ana {Makarashi 2} yakusaga dhahabu mkoani geita.Anamalizia Hotel yenye vyumba 38 mkoani geita,mwezi wa kuminambili mwaka huu inakwenda kufunguliwa rasmi,Hotel hii itaitwa Double B Hotel.

Yapo mengi ambayo Mungu amemfanikisha katika maisha yake.Msikilize mwenyewe hapa akisema.

Gonga hapa twende sawa.Uncel Jimmy Exclusive.



Nilitamani kujua mafanikio aliyo yapata yanatokana na nini?

Bahati Bukuku-Uncle Jimmy iko siri katika kulima nakufuga.Mimi nimezaliwa kwenye familia inayopenda kulima na kufuga.Nilianza kulima Mahindi na Karanga baadae nikaingia kufuga kuku.Kwa sasa ninakuku wengi sana ninaofuga hapo Kibaha,asikudanganye mtu kilimo kinalipa sana nandio mana sipatikani mjini mara kwa mara nipo shamba nikicheza na Jembe.

Bahati akuacha kunishangaza na kumuona ni mwanamke mwenye hasira na maisha ya umasikini maisha ya mwanamke asiependa kusubiri aletewe na mwanaume.Ndipo akawasha gari yake nakunipeleka Postar eneo la Hospital ya Regency ambako anafungua Restorant ya ukweli itakayotoa huduma zote za Chakula.

Mbali na mafanikio Bahati Bukuku anatamba na wimbo wake mpya "wewe ni Baba".Kwa sasa yupo mbioni kutoa Albamu yake ya Tatu akiwa amerecord nyimbo 15 katika studio tofauti.
Hapa alinipeleka kwa Man Water {Combination Sound} kusikiliza kazi yake mpya.Kesho katika jicho la Blog utakwenda kusikia Exclusive ya wimbo wake mpya.

Exclusive Bahati akiwashukuru wadau wa mziki wa injili.


EXCLUSIVE PICHTA 8 ZA BAHATI BUKUKU NI KIWA NYUMBANI KWAKE.
Nipozi tuuu.
Haya nimakote anayo jianda kufanya nayo shooting za Video zake Mikoa ya Mbeya,Moshi,Arusha.
Baada ya maojiano nilipatiwa msosi mzuri.Kitu mfugoooooooo.

Sehemu yakulia chakula.
Moja kati ya Nyumba zake 4 alizojenga.Hii ya Tabata Migombani,kwa sasa amempa mdogo wake wa mwisho kuzaliwa nae.
Usafiri anaotumia hapa mjini Bahati Bukuku.








Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP