Wednesday, June 13, 2012

HOT MIX HOT UNCLE JIMMY NDANI YA TINGA NO 1 EATV CHANEL 5 .

By Jimmy  |  7:28 PM No comments

Namshukuru Mungu kwa nafasi nzuri na kibali katika Tinga namba ONE EATV CHANEL 5.Majira ya Saa tano asubui napigiwa simu na Producer wakipindi Yunus Kijah kunialika kwenye show ya HOT MIX.

Simu-Gree greeee greeee

Kijah-Haloo Jimmy

Uncle-Haloo nani naongea nae

Kijah-Naitwa Kijah kutoka Chanel 5 nakuomba kwa maojiano katika kipindi cha Hot Mix.

Uncle-Ok kinahusu nini.

Kijah-Ni swala la Filam na wewe nini wafanya kwa sasa.

Uncle-Sawa ni muda gani Show inakuwa inaanza.

Kijah-Saa 11 kamili jioni adi saa 1 usiku,ila kinakuwa Live kila siku ya J/tatu mapka Ijumaa.

Uncle- Ok nitafika.

Kijah-Naomba ujitaidi kuwai.Ikiwezekana kuminamoja kasoro tano uwe umefika.

Uncle-Ondoa shaka Mama.

Kijah-Pouwa baadae Uncle.

Uncle-Pouwa.

Kama kawaida nakuwa on time ofisi za IPP.Napokelewa nakuingia katika majengo ndani.
Hapa nikiwa ndani ya jengo la Chanel 5 ni kimsubiri mwenyeji wangu kuja kunichukua.
Akatokea mrembo Kijah kuja kunichukua.Hapa sijui nilikuwa nauliza nini vilee.
On Set
On set
Nikisubiri kwenda hewani Kushoto kwangu ni mrembo Anna Mbajo,Kulia kwangu Adrian Hillary watangazaji wa show ya Hot Mix.
Anna Mbajo Uncle jimmy.Peopleeee.
Producer wa Show ya Hot mix kushoto kwangu Kijah.Uyu mwingine naniliiii.
Kama kawaida mapozi ya picha tuuu.
No Comment.
Wakinishukuru na kunikaribisha tena na tena
Taratibu homeeeeeeeeeeee





































Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP