Thursday, October 4, 2012

HIVI UNAJUA KUWA HOTEL NAMBA MOJA DUNIANI NA YA KIMATAIFA IKO TANZANIA?

By Jimmy  |  4:17 PM No comments

Sijui kama unajua Hotel ya Kifahari na yenye vivutio vikubwa Duniani iko Tanzania.Leo majira ya saa sita mchana nilipata bahati ya kukutana na rafiki yangu wa siku nyingi Saimoni Simalenga ambaye yeye alipata bahati ya kutembelea Hotel hii (SINGITA GRUMETI RESERVE) iliyopo katikati ya Mbuga ya wanyama ya Serengeti.Kikubwa nilichotaka kujua kuna vitu gani ambavyo vimefanya Hotel hii kuwa ya kwanza duniani.

Kwa mujibu wa Simalenga amenijuza Hotel hii ina uwezo wa kupokea watu 1000 hadi 3000 kwa siku na kuweza kuwahudumia vizuri.Ina viwanja vya michezo yote unayoijua duniani,Ina vijigari ambavyo vinachajiwa kwa umeme ambavyo vinamuwezesha mteja kutumia kutoka katika kijikota chake anacho kaa ambavyo vinapatikana katika Hotel hiyo.

Ina uwanja wa kutua ndege ndogo Tano kwa siku,inapo fika usiku baadhi ya vijumba vidogo vidogo vilivyo jengwa katika Hotel hii mteja anauwezo wakuona wanyama kwa chini wakati wakipita.Hotel hii inasemekana matajiri na marahisi wakubwa unao wajua hapa duniani wamesha fika katika Hotel hii.

Ina wanyama wa Farasi wanaofungwa kwa gharama kubwa ambao hutumiwa kama sehemu moja wapo ya utalii kwa wageni wanaofika.Pia sehemu hii ya Hotel hii haina joto kubwa kama la sehemu zingine.
  Nikifanya Intervew na Saimon Simalenga
 
 PICHA 20 ZA HOTEL YA KWANZA DUNIANI ILIYOPO TANZANIA




















Saimoni akiwa na wajina James





Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP