Thursday, October 11, 2012

WIMBO HUU {UPENDO} WAKE AMBWENE MWASONGWE UMEKUWA FILAMU KUPITIA VICHWA VYA WAPENDWA,NAFASI YAKO KUSIKILIZA.

By Jimmy  |  7:44 AM 8 comments

Baada ya kuandika (msg) siku chache katika Facebook kupitia Wall yake sasa albamu yake inapatikana madukani kote,nakuamua kuachia Record yake ya (UPENDO) Abwene Mwasongwe amekuwa gumzo kupitia Radio 99:2 Praise Power fm siku ya jana.Nyimbo hii imependwa na wengi kiasi cha kutabiriwa yawezekana ikawa ni nyimbo yakufunga mwaka 2012.
Ambwene Mwasongwe.

Nyimbo hii ukianza kuisikiliza nikama unatizama Filamu flani kupitia kichwani kwako,Ikikuonyesha familia flani inavyo kwenda kutoa shukrani Kanisani kupitia mtoto wao aliyekuwa chizi.Uwandishi aliotumia umekuwa mzuri kiasi chakumvutia kila aliye sikia wimbo huu "Upendo".

Nisikuchoshe na maneno mengi.Sikiliza wimbo huu kisha nitumie maoni yako kupitia namba yangu ya 0713-763939 kisha yata mfikia Ambwene Mwasongwe.

EXCLUSIVE UNCLE JIMMY.
 
Hiki ndicho alicho andika katika Kitabu chake Facebook siku chache zilizo pita.
 


Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

8 comments:

  1. very very great song and message too,congrats ambwene

    ReplyDelete
  2. Awesome song indeed! well formulated message with touching story.. GOD bless thee.

    ReplyDelete
  3. This guy is simply amazing. I am inlove with his voice and his Songs. Mimi shabiki number one

    ReplyDelete
  4. mungu akubariki sana mtumishi daima utazidi kusonga mbele

    ReplyDelete
  5. Mr. Ambwene umetisha me naupenda sana huo wimbo wako Upendo kaka yangu, Mungu azid kukutia nguvu mara dufu na Roho Mtakatifu akusaidie kutoa vitu vipya zaid.

    ReplyDelete
  6. huo wimbo unapatikana vipi kwa njia ya mtandao????

    ReplyDelete

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP