Monday, January 11, 2016

MATHIAS WA CCC KARIAKOO ZANZIBAR AMVISHA PETE YA UCHUMBA DADA ASUNTA MWINGIRATuesday, July 28, 2015

SAFARI HII SI YA KUKOSA ZANZIBAR


Monday, December 29, 2014

IBADA ZA CHRISTMAS NA MWISHONI MWA 2014 CCC KARIAKOO ZANZIBAR

Kanisa la Tanzania Assemblies of God CCC- Kariakoo Zanzibar limekuwa na Ibada ya mkesha wa Christmass tarehe 24/12/2014 pia Ibada ya nguvu sana Christmass.Jumapili ya jana pia palikuwa na Ibada yenye nguvu sana huku watu wenye mapepo na shida mbalimbali Yesu akiwahudumia.

picha na Stewart Njelekela
Tuesday, November 25, 2014

Don't Miss Campus' Night Wiki hii...


Friday, November 21, 2014

JICHO LA UNCLEJIMMY na GAZUKO-YESU NI BWANA

Kama unapenda muziki wa hip hop basi nafasi yako kusikiliza arakati za kijana Gazuko na record yake Yesu ni Bwana.Kwa hisani ya

Wednesday, November 19, 2014

DANIEL MOSES KULOLA ASHEREKEA MIAKA 25 YA NDOA YAKE.


KWA WALE WAPENZI WA KANJII MBUGUA VIDEO YAKE MPYA IKO HAPA 'AKO NAMI'

Ile video iliyokua ikisubiriwa kwa hamu AKO NAMI ya Star Kanjii Mbugua ft Enid Moraa & Twakutukuza Choir imetoka leo 19November 2014....Kuwa wa kwanza kutazama

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP