Thursday, October 16, 2014

UMESOMA ALICHOKISEMA MASANJA MKANDAMIZAJI INSTAGRAM KUHUSU MISS TANZANIA 2014 NA LUNDENGA.

By Jimmy  |  8:46 PM No comments


mkandamizaji
MISS TANZANIAAAAAA!!! ...HIVI LUNGENGA UKOJE? ...NILIKUWA NAKUAMINIA SANA.. ...SASA MBONA UNANIANGUSHA BRO! ...HIVI HAYO MANENO WANAYOSEMA HUYASIKIIIII?? ...HIVI UNATAKA MUNGU AKUPE NINI LAKINIII? ...HIVI UNATAKA MPAKA UISIKIE SAUTI YA MUNGU NDO USHTUKE... ...AMKA BRO WAKE UPPPPPPPPPP!! ...HUJAWAHI ISIKIA NYIMBO YA GOSPEL INASEMAAAAA.....Eeeeeeee Eeeeeeeeeh My God is gooodoooo everything is double double!!!! NGOJA NIKUSAIDIEEEEEEE ITA WANAHABARI WAMBIE JAMANI HAYA MAMBO HATA MM SIKUYAJUA SO TUKUTANE TENA MLIMANI CITY TAR 1/11/ KTK REDSS MISS TANZANIA TAKE 2. KIINGILIO LAKI 2 MKAMATE DAVIDO BAADA YA FIESTA ATUMBUIZE ... KULA MIHELA BRO HASHIMU... HALAFU KAMA KAWA SHOST YANGU SITTI ANAJITOKEZA ANAJIUZURU KAMA WAZIRI MKUU KAZI KWISHA, MNAMKATIA NA SITTI KIPOOZA MANENO KIDOGO MAANA WANANCHI WAMEONGEA JAMANI EEEEEEEH!!!! UNAKUWA UMEFANYA MWAKA MMOJA MISS MBILI YAAN MPAKA YA 2015 KUDADADEKIIIIIIIIIIIIIIII.... #MaanaWabongoWanaMaTidelisssssHatariii# #HalafuUjueMnawezaSemaOoohKazaaKumbeMnaoWateteaWametoaMala3SaSiAfadharYeyeKajizaliaMalaMoja# #MiNadhaniVigezoVyaMwakaniMissAweBikraHahahahahahUwiiiiiiNaHuoNdioUtakuwaMwishoWaUmissTanzaniaaaaaaaaaa# #FRMUSAOVER#

Jimmy Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By Bloggertheme9