Showing posts with label James Temu news 11:50 Am. Show all posts
Showing posts with label James Temu news 11:50 Am. Show all posts

Thursday, October 16, 2014

KIWANDA CHA VIDEO KINGDOM MEDIA KUWATOA EDNA KUJA NA LILIAN MARIKI SOON.PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO ZAO ZIKO HAPA


Mkurugenzi wa Kingdom Media Mr Alex aliyekua Tanzania kwa likizo fupi mwezi wa 8 mwaka huu,aliweza kufanya kazi nyingi za Video Production na waimbaji tofauti tofauti waki wemo Edna Kuja na Lilian Mariki.Hawa ni waimbaji walioingia kwenye tasnia

Wednesday, October 15, 2014

ULI MISS FOF:FRIENDS ON FRIDAY 'JANA NA LEO' NDANI YA TAMAL HOTEL MDAU WANGU.


Friends On Friday....FoF Jana na Leo.....tarehe 31 October, 2014.....FoF Alpha, FoF Omega....ndani ya Tamal Hotel.....

 Fof hii si ya kukosa as kuna double celebration baada ya familia ya FoF kuwa double, Gwamaka Alfred double, James Temu double,Samuel Sasali double,Prospar Mwakitalima double,Samwel Fred double....yani kitafanyika bonge ya kitu hasa katika usiku huo.....unaambiwa familia imekua na sasa imerudi kuleta burudani,kwa wapenda mtoko ndani ya Friends on Friday.

Stay tune....mengi yanafata kufiki tarehe 31 October.





Monday, April 28, 2014

KUTOKA MOSHI HILI NDILO KANISA LILILOJENGWA NA MKOLONI LIKIWA NA MIAKA 82.


Kutoka Moshi usharika wa Lyamungo  kati jimbo la kaskazini,dayosisi ya kaskazini hili ndilo kanisa lililojengwa na mkoloni linalo semekana kuwa na miaka mingi likiwa bado liko

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP