Friends On Friday....FoF Jana na Leo.....tarehe 31 October, 2014.....FoF Alpha, FoF Omega....ndani ya Tamal Hotel.....
Fof hii si ya kukosa as kuna double celebration baada ya familia ya FoF kuwa double, Gwamaka Alfred double, James Temu double,Samuel Sasali double,Prospar Mwakitalima double,Samwel Fred double....yani kitafanyika bonge ya kitu hasa katika usiku huo.....unaambiwa familia imekua na sasa imerudi kuleta burudani,kwa wapenda mtoko ndani ya Friends on Friday.
Stay tune....mengi yanafata kufiki tarehe 31 October.
0 comments: