Kanisa la pefa kwa Mchungaji Jacob Elliy lililopo Ukonga Mazizini walipata nafasi ya kusifu na kuabudu na waimbaji Mess Jacob,Atosha Kissava pamoja na Bony Mwaitege...unaambiwa wakazi wa mazizi pamoja na maeneo ya Kitunda,Mwanagati,Mombasa walijitokeza kwa wingi katika ibada hiyo ya kusifu na kuabudu.Picha zifatazo ni matukio ya ibada
Kushoto ni Bony Mwaitege,Mess Jacob,Atosha Kissava
Watu wakienda sawa na Mess Jacob
Atosha Kissava kulia akienda sawa
Mess Jacob akiwa na wachezaji wake
0 comments: