Mdau wangu mwaka 2012 tarehe 12 Agosti The Don kwa mara ya kwanza alikanyaga aridhi ya Tanzania na kufanya bonge moja la show ambayo haikuwahi kutokea.Kama kawaida timu ya Unclejimmytemu.com pamoja na Chomoza ya Clouds TV tulipata nafasi nzuri kutazama event hiyo iliyopewa jina LOVE TANZANIA FESTIVE.