Jimmy Gait muimbaji wa Gospel nchini Kenya amepata dili kubwa na kampuni ya J3 International...Jimmy Gait aliyetamba na vibao kama Appointement,Signature,Manyunyu amepata dili hiyo kubwa baada ya kuonekana na baadhi ya wakurugenzi
wa kampuni hiyo siku za usoni.
Habari zilizotufikia unclejimmytemu.com zimesema kuwa amesani na kampuni J3 International na kumpatia pesa nyingi kwakua kampuni hiyo ni tajiri.Kwa sasa J3 International inatarajia kujenga hospital kubwa zaidi kuliko hospital ya Kenya National Hospital,hivyo Jimmy Gait atakua balozi wa kampuni hiyo.
0 comments: