Mchungaji
Kiongozi wa Nchi ya Ahadi (Harris Kapiga) siku ya jana katika ibada yake
alianda maalumu kwaajili ya kuvunja roho za mauti kwa wasanii wa bongo movie…maombi
hayo
yalikua maalumu kuwaombea ulinzi,umoja na wote wanaotamani kuingia katika tasnia ya filamu Tanzania.
yalikua maalumu kuwaombea ulinzi,umoja na wote wanaotamani kuingia katika tasnia ya filamu Tanzania.
Ibada hiyo
ya wasanii wa bongo movie iliwakilishwa na Rais wa shirikisho la filamu
Tanzania (TAFF) Saimon Mwakifamba.Wasani wengine waliofika pamoja na waimbaji
Bahati Bukuku,Dotnata na Mfupe…
Bahati Bukuku akifanya kweli siku ya jana
Mchungaji Harris akifundisha
Saimon Mwakifamba Rais wa shirikisho la wasani Tanzania.
Waimbaji waki abudu
Mama Mchungaji akifanya maombi.
0 comments: