Sunday, April 29, 2012

CHRISTINA SHUSHO ANG'ARA KWENYE GROOVE AWARDS, APATA TUZO KWA MARA YA PILI.

By Jimmy  |  3:27 PM No comments

Siku ya jana nchini Kenya muimbaji kutoka Tz Christina Shusho aliibuka Mshindi katika Tuzo za Groove Awards katika Category ya mwanamuziki bora wa mwaka kutoka Tanzania.Tuzo hizo ziliudhuriwa na watu mashuhuri kutoka sehemu mbalimbali.

Christina Shusho akipokea Tuzo ya Groove Awards mwaka jana.

Tuzo hizo zilisimamiwa na Mc wawili akiwemo Pastor Uche Mzee wa Double Double na Mtangazaji wa kituo cha Radio Rauka Kambua.
Pastor Uche ndani ya usiku wa Groove Awards.
Mtangazaji wa Rauka Radio Kambua

Mwaka jana kupitia Category hii ya mwanamuziki bora wa Mwaka Christina Shusho ali wamwaga waimbaji wa Bongo akiwemo Rose Muhando,Bahati Bukuku,Neema Mwaipopo pamoja na Boniface Mwaitege nakuibuka kidedea kama mwaka huu.

Ukimwacha mwimbaji Christina Shusho waimbaji wengine walio chukua Tuzo ni Eko Dydda alie chukua Tuzo ya Mwanamuziki bora wa kiume, Emmy Kosgei mwanamuziki bora wa kike ambaye pia alikuwepo kwenye Tamasha la Pasaka nchini Tanzania lililo andaliwa na Msama Promotion.
Ekko Dydda akifanya kweli jukwaani.
Emmy Kosgei.

Katika Tuzo hizo mwimbaji Mkongwe ambaye nathubutu kusema ni mmoja kati ya waimbaji walio changia kukuza muziki wa Injili Africa Mashariki,Reuben Kigame alipewa tuzo maalum kutokana na Mchango wake mkubwa wakuhubiri injili kwa njia ya Uimbaji.
Reuben Kigame

HIZI NDIO CATEGORY ZILIZOSHINDANIWA NA WASHINDI NI WENYE RANGI YA PURPLE

MALE ARTIST OF THE YEAR
Daddy Owen
Eko Dydda
Holy Dave
Jimmy Gait
Juliani
Man Ingwe

FEMALE ARTIST OF THE YEAR
Emmy Kosgei
Gloria Muliro
Kambua
Mercylinah
Mercy Wairegi
Sarah Kiarie


GROUP OF THE YEAR
Adawnage
B.M.F
Kelele Takatifu
M.O.G
Maximum Melodies
Tetete

SONG OF THE YEAR
Exponential Potential – Juliani
Furifuri – DK & Jimmy Gait
Ghetto – Ekodydda
Liseme – Sarah K
My call – MOG
Ololo – Emmy Kosgei

WORSHIP SONG OF THE YEAR
Liseme – Sarah K
Nakutazamia – Mercy Wairegi
Niongoze – Mercylinah
Nisizame -Tumaini
Umetenda mema – Kambua
Waweza – Everlyn Wanjiru

ALBUM OF THE YEAR
Ebenezer – Mercylinah
Kibali – Gloria Muliro
Liseme – Sarah k
Ololo – Emmy Kosgei
Pulpit kwa Street – Juliani
Utamu wa maisha – Daddy Owen

VIDEO OF THE YEAR
Exponential Potential – Juliani
Holy Ghost fire – BMF
My Call – MOG
Safari – Adawnage
Umetenda Mema – Kambua
Am Walking – Alemba & Exodus

GOSPEL TV SHOW OF THE YEAR
Angaza – KBC
Crossover 101 – NTV
Gospel Garage – K24
Kubamba – Citizen TV
Tukuza – Radio Maisha
Rauka – Citizen TV

RADIO PRESENTER OF THE YEAR
Allan T – Homeboyz Radio
Amani Aila – Hope FM
Anthony Ndiema – Radio Maisha
Eudias – Radio Jambo
James Okumu – Hope FM
Mike Gitonga – Radio 316

ARTIST OF THE YEAR (UGANDA)
Coopy Bly
Exodus
Holy Keane Amooti
Kingsley & Philla
Marc Elvis
S4J

ARTIST OF THE YEAR (TANZANIA)
Bahati Bukuku
Bonny Mwaitege
Christina Shusho
Neema Mwaipopo
Neema Nushi
Rose Muhando


ARTIST OF THE YEAR (RWANDA)
Aline Gahongayire
Beauty for Ashes
Dominic Nic
Eddy Mico
Lilian Kabaganza
Patient Bizimana

ARTIST OF THE YEAR (BURUNDI)
Allelua Music
David Nduwimana
Fabrice Nzeyimana
Mutesi Anne Marie
Samuel Nvuyekure
Senga Dieudonne

ARTIST OF THE YEAR (SOUTH SUDAN)
Daniel Lasuba
Jazi Rock
Mary Boto
Lam Lungwar
Silver X
Star Eagles

SONGWRITER OF THE YEAR
Kambua






























Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP