Kama ni FoF Arusha imekuwa ya Baraka kubwa usiku wa leo.Watu ni wengi kupita maelezo.Na patwa na mkanganyiko ni weke picha gani ili wewe uweze kujionea yanayo jiri Arusha.
Kwa Arusha mtupio ni Nyekundu wakati huo Mbeya wana mtupio Nyeupe na Kakii.
0 comments: