Friday, April 27, 2012

JICHO LA BLOG na NEEMA JEKONIA.

By Jimmy  |  10:56 AM No comments

Jicho la Blog ni sehemu utakayo furahi kwakupata nyimbo mpya ya Mwimbaji unae mjua au usie mjua.Kila siku ya Ijuma nitakuwa nakuleta mwimbaji mmoja ambae anafanya vizuri kupitia Radio za Dini na hata hizo zingine.

Leo katika Jicho la Blog tunae mwana Mama Neema Jekonia anae fanya vizuri kupitia nyimbo zake Tatu{1}NAHILO LINA PITA {2}TENDA BWANA {3}MWENYE UWEZA.
Neema Jekonia akiimba katika Uzinduzi wa Vipindi vya Radio Praise Power Fm mwaka jana.

Pata Burudani ya Wimbo wake NAHILO LINA PITA.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP