Tuesday, March 27, 2012

TAHADHARI-Wezi wanavyo tumia nyaya kufungua Makofuli ya Mabegi yetu pindi tunapo safiri na Ndege/Basi.

By Jimmy  |  1:13 PM No comments

Habari hii imenishitua sana.Upo wizi unaotumiwa na watu kufungua Begi lako ulilofunga na Kufuli pindi unapo Safiri na Ndege au Basi nahatimae kukuta baadhi ya vitu vyako avionekani,lakini Kufuli unalikuta lipo vilevile kama ulivyo funga wakati unaanza safari.

Kwa habari zaidi tizama Video hii.



Tizama Video ya Pili



Wapo walioripoti kuwa vitu vyao viliibwa kutoka masandukuni na makufuli yalikuwa yamefunguliwa au kuonesha dalili ya kuchokonolewa ama hayapo kabisa. Kutokana na shuhuda hizo, wengine walitoa ushauri wa kutumia aina fulani ya makufuli ambayo yamepigwa chapa ya mashirika (agency or department) yanayohusika na usafiri kwa baadhi ya nchi, mfano TSA, ATS n.k. nami nikawafahamisha, hiyo nayo si dawa muafaka kwani hata hayo nayo yanaweza kufunguliwa.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP