Mwenyekiti wa Maandalizi ya Gospel Star Search akutana na Vyombo vya Habari vya Kidini kuzumgumzia nini kifanyike kuwafikishia taarifa waimbaji wenye vipaji katika mchakato mzima ulioanza siku ya Tare 26/3/2012 ambapo alikutana na washiriki wa mwaka 2005 nakuwapongeza kwakufanya vizuri mpaka leo nakuipa eshima Gospel Star Search.
Mwenyekiti na mtangazaji wa Clouds Fm Harrs Kapiga ameyasema hayo asubuhi ya leo katika Restaurant ya Etina iliopo Mliman City.
Katika taarifa hiyo ametoa wito kwamtu yoyote ambae anakipaji katika swala la uwimbaji kuwezakujitokeza katika mchakato huwo wenye lengo lakuibua vipaji.
Amevielezea vigezo vya ushiriki katika usakaji wa vipaji hivyo kuwa ni
1}Kwanza awe ameokoka kwanza
2}Awe ajawai kurecord ila anakipaji cha uwimbaji
3}Kuhusu umri ni mtu yoyote kwa umri wowote ule.
2}Awe ajawai kurecord ila anakipaji cha uwimbaji
3}Kuhusu umri ni mtu yoyote kwa umri wowote ule.
Amesema pia Mchakato huwo utaanza mkoani Dar es salaamu nautaenda kikanda.
Temeke itakuwa Tarehe 21/4/2012 katika ukumbi wa Sabasaba mkabala na Ofisi ya waziri mkuu
Kinondoni Tarehe 28/4/2012 itafanyika Etina Restaurant karibu na Mliman City
Baada ya hapa Dar es salaamu mchakato mzima utahamia Mikoa 8 kuanzia Tare 2/5/2012.Mkoa wa kwanza utakuwa Mbeya,Iringa,Songea,Musoma,Mwanza,Kigoma,Tanga,Arusha,na kumalizia Kilimanjaro.
Katika Mikoa yote watatoa washiriki 5 watakaokuja kushiriki nawashiriki wa Dar
Fainali ya Shindano hili la Gospel Star Search itakuwa tare 5/8/2012.
0 comments: