JINSI
ULIVYO LEO NI MATOKEO YA ULICHOKISIKIA NA KUKIAMINI
FIKRA TATA: 1
i.Hakuna mtu aliezaliwa
na kitu/mali /mafanikio... Inaweza ikakupa shida kuamini kwasababu kila siku
unaona kuna watu mashuhuri/matajiri na wana watoto, utaniambia Fred wale si
watu waliozaliwa na kuyakuta mafanikio tayari? Ni sawa lakini hebu tulia kidogo
na fikiri hivi yule mtu wa kwanza kabisa ambae ndio mwenye hayo mafanikio ...Je
nayeye hizo mali/mafanikio alizitoa wapi? Jibu ni rahisi sana hapa kwamba
wakati wote tulikua katika hali sawa uwezo sawa na mazingira sawa kuna mtu
mmoja ambae yeye aliamua kufikiri zaidi ya mipaka ya kawaida (fikra nje ya
boksi) Matokeo ya kufikiri nje ya mipaka ni kufanya vitu nje ya mipaka na
kufanya vitu nje ya mipaka ni kupata matokeo makubwa nje ya mipaka.Baada ya
hayo yote sasa utofauti ndio unaanza kuonekana kwasababu yeye aliamua kulipa
gharama na kutenda nje ya mipaka ni lazima matokeo yamtoe nje ya mipaka pia na
ndio maana watu wenye uwezu wa juu na wasio na uwezo hawakai sehemu moja..Unaweza
ukalahumu saaana lakini mfumo ndo umeamua hivyo aliwaza nje ya mipaka ataishi
nje ya mipaka pia, Lakini wote mwanzo wetu ulikua sawa.
Nilikuwa
naangalia ITV, Taarifa za Idd-E-Haj huko Kigoma, MASHEIKH wakasema
walikuwa na mafarakano (Mfaraka), lakini wakakaa Pamoja, wakaisuluhisha
hiyo mifarakano kwa kutumia SHERIA ZA MWENYEZI MUNGU ambazo Ziko kwenye
Quran, na Sasa Wanashirikiana kwa Amani na Mshikamano! Nilisikia TAG na
EAGT walikuwa/watakuwa na kesi MAHAKAMANI kuhusu "MGOGORO" baina yao.
Wachungaji wangu na Ma-askofu wanguSylvester Gamanywa, Peter Mitimingi, Matthew Sasali, Florian Katunzi (na wengine)NINAFAHAMU Mungu amewajalia HEKIMA NA BUSARA ZA KIMWILI NA
KIROHO, naomba muwashauri MAASKOFU wa TAG na EAGT Waende WAKAJIFUNZE
KWA MA-SHEIKH WA KIGOMA namna ya Kumaliza Migogoro ya Kidini kwa Kutumia
Vitabu vya Dini, na kama WAKIONA BIBLIA HAIWATOSHI KUJIBU TOFAUTI ZAO
MPAKA WAENDE MAHAKAMA ZA KIDUNIA, Basi Washauriwe hata namna ya KUTUMIA
QURAN Kumaliza Mgogoro wa TAG na EAGT bila Kwenda Mahakamani - Itakuwa
ni Hekima zaidi kuliko AIBU wanayolitia Kanisa kwa Sasa!!!!!! SHAME
Richard ZuberiNanukuu
" na kama WAKIONA BIBLIA HAIWATOSHI KUJIBU TOFAUTI ZAO MPAKA WAENDE
MAHAKAMA ZA KIDUNIA, Basi Washauriwe hata namna ya KUTUMIA QURAN
Kumaliza Mgogoro wa TAG na EAGT bila Kwenda Mahakamani", Bonge la wisdom
hilo Mussa.
Baba XtinaBiblia utaielewa kwa kusoma mwenyewe c kwa kusomewa!
Frank Makelemokesi
ilishaondolewa mahakamani wiki 1 imepita sasa na hayo mambo
yanasuluhishwa kikanisa, jaribu kuwa unapata updates kwanza kabla ya
kupost vi2 ukiwa kifua mbele. au ulikuwa na lengo lingine mahsusi kwa
hiyo post.
Andrea MuhozyaWashauriwe
kutumia QORAN?? People, since when did TWO WRONGS MAKE IT RIGHT? Yaani
wamefanya kosa la kwenda Mahakama za kidunia halafu tuwashauri kwenda
kwa Qoran? Na hili litakubaliwa na Mungu gani wapendwa? No, no, no. Kama
wakishindwa kushaurika kuhusu kutoendelea na mahakamani waliko sasa
hivi kilichobaki ni kuwaombea tu. Na kama kanisa kweli tukiomba kwa
pamoja in one accord kwa hili Mungu wetu atatujibu!
Fredrick MulindaKwa
hiyo post ya Musa Billegeya ninachoweza kusema ni AMINA. Andrea
Muhozya, kama wamekwenda mahakama za kidunia, si afadhali zaidi kupata
ushauri wa mashekhe ambao angalau wanamtafuta Mungu japo kwa
kupapasapapasa? Unafikiri wanatofautiana sana? Frank Makelemo, asante
kwa taarifa hiyo.
Andrea MuhozyaFredrick Mulindahivi ni kweli kabisa kwamba hii ndo busara ya mwisho kabisa kwa wwatu
wa Mungu? I am surprised! Ipo siku watumishi wa Mungu watakosea
wataambiwa waende kujifunza kwa mganga wa kienyeji namna ya kumaliza
tofauti zao. Hivi neno la Mungu halina majibu kwa hali ilipofikia,
hakuna hekima kwa kanisa la Mungu mpaka mtoe aina hizo za ushauri? hebu
MSHINDWE!
Honery Yothamu MnyanyiWaende,
rukhusa kwenda kujifunza hekima ya huko, biblia hajakakataza kujifunza
hekima kwao, maana huko kuna mambo mengine hufanyika kwa hekima kuliko
hata kwa wana wa nurun, barikiwa dr kuwa-reference huko
Fredrick MulindaNdg.
yangu Andrea Muhozya, kweli TUSHINDWE (hasahasa mimi). Wewe USHINDE!
Binafsi sihitaji kushinda ktk hilo unalolitetea. Wewe unafikiri ushauri
haukutolewa kabla? Je, neno la Mungu yupi unataka litoe majibu kama si
yule anayedhaniwa kwamba wanamtumikia? Mbona hawakumsikiliza kabla ya
kufanya uamuzi wa kipumbavu kama huo? Ubora wa "mungu" wa watu wa jinsi
hiyo zaidi ya yule wa masheik na waganga wa kienyeji uko wapi? Je,
mahakama ilipotupilia mbali madai hayo kwa muda ili mazishi yafanyike
kwanza haiku-prove wiser kuwapita? Je, ni kwa sababu mahakama ilitafuta
neno la Mungu wa kweli? Aaah, Sometimes we think we are spiritual when
we are only religious!
Alexander WenceslausAndrea
ungekua unamfahamu vilivyo Mussa na alichokiongea hapo nadhani
usingekurupuka kwenye comment yako ya kwanza. Hiyo ni aina ya uandishi
ili kuweka msisitizo. Ni kama Sarcasm. Haimaanishi amekusudia direct
kuwa hicho kitabu kingine kitumike kusuluhisha gogoro hili. Ameweka
msisitizo yaani kama hekima za ndani zimeshindikana basi waazime zile za
wenzao walioweza kusuluhisha farakano lao. Tafakari kwa sauti kabla
hujaweka maandishi yako vidoleni.
Mussa BillegeyaAndrea Muhozya hukuelewa....,Frank Makelemo,asante kwa updates, kumbe nilipaswa kupost huu ushauri kabla hawajaitoa
hiy kesi mahakamani, maana Kitendo cha Kuipeleka Mahakamani NDIO
ULIKUWA UKOSEFU WA BUSARA, Kuitoa ni busara pia - japo ni busara
iliyochelewa! Asante kwa Alexander Wenceslauskwa ufafanuzi,Fredrick Mulinda tuko pamoja.... HILI HALIKUPASWA KUTOKEA, NA LINATAKIWA LIISHE MARA MOJA!
Mussa BillegeyaJoel Msellasafari njema kaka, Mungu akutangulie!! teh
Fredrick MulindaJoel Msella, kama unapita kidigitali lazima uache alama. Sasa we utafikiri umepita kwa ndege bwana, duh hahahaha!