Queen of Gospel,the legendary Dr.Rebecca Malope ameachia album ya 34 akiwa ameipa jina la "Am Vip".Huu ni ujio wake mpya akiwa amedhamiria kuleta mabadiliko kwenye muziki wa Gospel hasa katika kuelezea
mafanikio anayotakiwa kuyapata muimbaji katika kumtumikia Mungu.
Mana kamili ya "Am Vip" alisikika akisema kuwa...(There are no VIPs in heaven,no middle class and basically that we are equal in the eyes of the Lord) Hakuna mtu maalumu kwa Mungu wala mtu wa katikati bali wote tupo sawa katika macho ya Mungu.
Kwa sasa Rebecca yupo katika maandalizi ya kutangaza album yake mpya ambapo popote atakapokua akifanya muziki wake utakua live tofauti na album zilizopita.
0 comments: