Kama ni mfatiliaji wa kundi la Ambassodors of Christ wana video mpya ya wimbo wao 'SHOW ME THE WAY' ukiwa katika lugha ya kingereza.Kundi hili limetamba kwa muda mrefu na vibao vyao kama
Kwetu Pazuri,Yatupasa Kushukuru,Tufanye Kazi,na zingine nyingi.....kwa hisani ya Unclejimmytemu.com tazama video yao hapo chini.
Kwetu Pazuri,Yatupasa Kushukuru,Tufanye Kazi,na zingine nyingi.....kwa hisani ya Unclejimmytemu.com tazama video yao hapo chini.
0 comments: