Mwanamuziki
wa Injili Binti Africa, Miriam Lukindo wa Mauki yuko katika kutengeneza
Video yake yenye hadhi ya Kimataifa ya wimbo wa Ameen, Halleluyah.Akizungumza na Unclejimmytemu.com Miriam ameamua kuwekeza katika video hiyo....iliyo mgharimu milioni
moja na laki tano kuanzia shooting,location,video director pamoja na mavazi.
moja na laki tano kuanzia shooting,location,video director pamoja na mavazi.
Hii ni hatua kubwa kwa muziki wetu wa Gospel tofauti na miaka 10 iliyopita ambapo muziki ulichukuliwa kama sehemu ya kusifu na kuabudu pasipo kufikiria miaka kumi ijayo na jinsi gani tunaweza kuyafikia mataifa mengine kupitia muziki wetu wa Gospel....Hii itakua video ya pili yenye gharama kubwa ukiacha ya Angel Benard "I need to rain"aliyotumia milioni 5 nchini Kenya.
Video hii inatengenezwa na kampuni ya KINGDOME MEDIA chini ya director Alex Joseck ambaye kwa sasa yupo Tanzania kwa likizo ya mwezi mmoja kutokea Marekani.
Video hii inatengenezwa na kampuni ya KINGDOME MEDIA chini ya director Alex Joseck ambaye kwa sasa yupo Tanzania kwa likizo ya mwezi mmoja kutokea Marekani.
Mtaalamu wa makeup Maznat akimtengeneza Binti Africa
Paul Clement on action
Tukimsikiliza Director Alex akieleza umuhimu wa kuwekeza kwenye video bora
Director Alex na Script Manager Uncle Jimmy tukipeana mawili matatu kabla ya kazi.Hapa sijui nilikua namtafuta nanii.....
CO wa Kingdom Media na CO wa Kiango Media waki tetaa!
Tabasamu la picha mdau wangu...
Mic ya Camer ya Chomoza ya Clouds TV ikichota yake
Mtu wangu wa karibu Samuel Sasali akichota yake kwa binti Africa kwenye mic ya Chomoza ya Clouds TV.
Kijana wangu wa kazi Haroun Kuhani akiwa kikazi zaidi.
















0 comments: