Glorious Worship Team wanatarajia kua na usiku wa kusifu na kuabudu tarehe 5/9/2014 katika hotel ya Tamal iliyopo maeneo ya Mwenye jijini dar es saalam.Habari zaidi kuhusiana na mkesha huu endelea kufatilia unclejimmytemu.com kwa habari zaidi mdau wangu.


0 comments: