Wiki iliyopita tulifanya mahojiano na Bi Mariam akieleza kisa cha kusisimua baada ya kukatwa mikona yake miwili na kijana George aliyekua jirani yao.Yapo mengi aliyoeleza yenye kusikitisha na kuumiza
mioyo ya watanzania wengi.Mtazame hapo chini akizungumza na CHOMOZA YA CLOUDS TV mdau wangu.
mioyo ya watanzania wengi.Mtazame hapo chini akizungumza na CHOMOZA YA CLOUDS TV mdau wangu.
Video no 1
Video no 2

0 comments: