Nnchi Marekani siku ya J/mosi kulifanyika tuzo za TALANTA AWARDS kwa mara ya kwanza na kujumuisha watu mbalimbali kutoka kona ya nchi ya Marekani.Ripota wangu wa karibu Alex alikuwepo kwenye tukio hilo na kushuhudia utoaji wa tuzo hizo.
Katika tuzo hizo wa
Kenya waliweza kutwaa tuzo nyingi na kupata shangwe za kutosha
1. SONGWRITER OF THE YEAR; Benachi
2. BEST STAGE PERFORMANCE KENYA; Willy Paul
3. BEST UPCOMING MALE ARTISTE KENYA; L Jay Maasai
4. BEST UPCOMING FEMALE ARTISTE FROM KENYA; Liz Namnyak
5. DJ OF THE YEAR; DJ Sadic
Zifatazo ni picha za matukio yaliyojiri katika utoaji wa tuzo hizo mdau wangu

Muimbaji kutoka Kenya Will Paul akifanya yake jukwaani
Hapana chezea huyu kijana
Will Paul akipokea tuzo ya BEST STAGE PERFORMANCE.
Director kutoka Kenya J.blessing naye alipokea tuzo
Producer Printze Ngosso (Mtanzania) nwenye studio ya Tanzamer Studios alikuwa ni mmoja wapo wa judges na worship leader wa event
DJ Kamfy kwenye one & two
Antony kamnao alikua mc wa event ....pia ni muimbaji anayetamba na wimbo wake wa Jesus my Daddy

0 comments: