Don Moen ni muimbaji wa kimataifa aliyezunguka nchi nyingi duniani na hasa za afrika.Katika nchi alizowahi kutembelea afrika na kuguswa na taswira ya nchi hiyo hasa katika janga la watoto wa dogo kutelekezwa pamoja na janga la umasikini ni nchi ya GHANA.Don Moen amehamua kutoa misaada katika
kituo cha kulelea watoto chenye shule kilichopo GHANA,kwa kujenga eneo hilo vizuri pamoja na mahitaji ya watoto hao kwa kushirikisha marafiki zake ili kuleta matumani kwa taifa la GHANA lenye watoto wengi wasio na wazazi....Kupitia jambo hilo The Don amehamua kuja na slogan "Worship In Action" ambapo mwezi wa 12 mwaka huu anategemea kukamilisha ahadi yake kwa nchi ya GHANA na kusherekea kwa pamoja.Tazama katika video hiyo hapo chini mdau wangu.
0 comments: