Kwenye jicho la blog leo nakupatia remix ya wimbo wa kwanza kwenye albam ya John Lisu (UPENDO).Wimbo huu utakuwepo kwenye albam ya DVD ya UKO HAPA inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 5/10/2014 Diamond Jubilee.Ufanye wako na kuusikiliza hapo
chini kwa hisani ya Unclejimmytemu.com ukiwa umefanywa remix na produz Samuel Yonah.
chini kwa hisani ya Unclejimmytemu.com ukiwa umefanywa remix na produz Samuel Yonah.
Enjoy na weekend njema kwako.

0 comments: