Ikiwa ni mwaka wao wakuonyesha dhahiri wamedhamiria kurudisha KWAYA kwenye ramani ya muziki kwa miaka 7 iliyopita ambapo muziki wa KWAYA ulikua juu sana...Lakini kupitia waimbaji wanaojitegemea nikama muziki wa KWAYA umepotea.Uinjilisti Kijitonyama kwa sasa wana ratiba ndefu ya kuzunguka
baadhi ya mikoa kutangaza albam yao (NAMTANGAZA KRISTO) huku wakianda albam nyingine ambapo soon wataweka wazi ni albam gani inakuja.....Zifatazao ni picha za utengenezaji wa albam hiyo mdau wangu.







0 comments: