Saturday, June 14, 2014

VIDEO,PICHA-ZA MATUKIO YA MKESHA WA AFLEWO SIKU YA JANA MDAU.

By Jimmy  |  10:34 AM No comments

Logo ikiwakilisha
 Event kubwa ya aina yake AFLEWO (Africa Lets Worship) inayofanyika kwa mwaka mara moja,usiku wa jana katika kanisa la  City Christian Center Upanga(CCC) karibu na Chuo cha Mzumbe, imekuwa ya aina yake baada ya watu wengi kumiminika kutoka kila kona ya jiji la dar es salaam.
Mkesha huo wa kusifu,kuabudu na Maombi umekua baraka kubwa kwakila aliyefika siku
ya jana kwani kikosi kizima cha kusifu na kuabudu kilichokua kikiongozwa na Dr.Ona Machung'u kilionyesha uwezo mkubwa katika stage....picha zifatazo ni matukio yaliyojiri usiku wa jana mdau wangu.
Broadcast live streaming video on Ustream
 Kitu nyomiiii

 Mc wa Event Samuel Sasali.


Hapana chezea uwepo wa Mungu

Picha zifatazo ni maombi yaliyofanyika kabla ya event kuanza

Sound ya ukweli



Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP