Mwimbaji wa nyimbo za injiri Happy Kamili aachiwa
huru kwa mujibu wa mahakama,ila ataendelea kutumikia kifungo chake cha miezi mitatu akiwa nje ya
gereza na kuripoti kila siku asubuhi kwa bwana jela...Endelea kufatilia unclejimmytemu.com itakuleta maojiano ya Happy Kamili pamoja na picha baadae.
0 comments: