Solomoni Mukubwa pamoja na Pistson wakiwa wanatokea nchi jirani 'Kenya" wamepata dili mpya kwenye kampuni ya MOBILE SAWA kampuni inayodili kupromoti wasani wa kubwa nchini Kenya pamoja na wasani wa
Gospel...Hawa wamekua wasani wa kwanza kupata dili hiyo mdau wangu.
Gospel...Hawa wamekua wasani wa kwanza kupata dili hiyo mdau wangu.
Moja kati ya watu wanaosimamia promotion hiyo(Kevin Maina) ameleza kazi ya Mobile Sawa kupitia account yake ya Twitter
(MobileSawa is Kenya’s leading mobile solutions company.
Focus on promoting artists by using their music on TV & Radio shows. Over
350 popular artists signed)
Tazama matangazo hayo hapo chini yakiwa kwenye mfumo wa video.
Video-Solomoni Mukubwa
Video-Pitson
0 comments: