Maandalizi ya Mkesha wa AFLEWO (Africa
Lets Worship) 2014 Maandalizi yakamilika.Mandalizi hayo yaliyoanza tangu
mwaka jana kwa usaili wa wanakwaya na ikifuatiwa na mazoezi ya Kuimba
na Wanamziki kutoka Makanisa mbalimbali Jijini Dar es salaam.
Mpaka sasa maandalizi tayari
yamekamilika kinachosubuliwa na muda kesho saa 3:00 usiku katika Kanisa
la City Christian Center Upanga(CCC)
karibu na Chuo cha Mzumbe,Siku ya Ijumaa 13/06/2014.
Mkesha huo wa Kusifu,Kuabudu na Maombi kwa
ajili ya Afrika na Tanzania utakuwa na Waimbaji zaidi ya hamsini kutoka Makanisa
mbalimbali watakuwa kwenye jukwaa moja wakimsifu
Mungu
Waumini,Wachungaji na Maaskofu watakusanyika kumwomba Mungu hasa
kwa mchakato mzima wa Katiba mpya na Uchaguzi mkuu 2015.Hakuna Kiingilio.

0 comments: