Kanisa la CAANAN CHRISTIAN WORSHIP CENTRE mkoani Morogoro chini ya Askofu Ryoba siku ya jana kulifanyika ibada ya kusifu na kuabudu iliyoongozwa na muimbaji kutoka dar es salaam John Lisu pamoja na wenyeji
kwaya (Kings Choir)
kwaya (Kings Choir)
Unaambiwa maelfu ya watu pamoja na wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali vya mkoani Morogoro walikuwepo katika ibada hiyo ya kusifu na kuabudu.Huu ni ufunguzi wa ibada ya kusifu na kuabudu kila wiki ya kwanza ya mwanzo wa mwezi katika huduma hiyo.


Watu Nyomiiii!!
John Lisu akienda sawa mdau wangu
Peopleeeeee!!







0 comments: