Leo ni siku waliozaliwa watoto wa Pastor Sylvester Gamanywa....nifuraha kubwa kwa wazazi kuona watoto wao wakikua na kufurahia matunda ya wazazi.Jambo moja ambalo ulifahamu mdau wangu kuhusu watoto hawa ni kupewa majina ya upekee yani Excellent ambaye ni Kaka na Excel ni Dada.Unaweza kujiuliza kwa nini Pastor Gamanywa aliwapa majina haya.....maana halisi ya majina haya ni
Excellent (mwenye viwango vya juu vya ubora) na (mwenye kutenda kwa viwango vikubwa vinavyoongezeka kwa wingi na kwa ubora pia)
Excel ( mwenye kutenda kwa viwango vikubwa vinavyoongezeka kwa wingi na ubora pia)


0 comments: