Tuesday, June 24, 2014

MAADHIMISHO YA MIAKA 75 YA TAG,ASKOFU MTOKAMABLI AONGEA NA VYOMBO VYA HABARI.

By Jimmy  |  2:41 PM No comments

Rev.Dr.Barnabas Mtokambali akiongea mbele ya vyombo vya habari.
Katika kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Kanisa la TAG 13-07-2014...Sokoine Mbeya....Askofu Mkuu Rev.Dr.Barnabas Mtokambali aongea na vyombo vya Habari na kuelezea Madhumuni ya Maadhimisho hayo....

Alisema kuwa maadhimisho hayo yataanzia katika ngazi ya kanisa  kwa lengo la kulitambulisha kanisa la mahali pamoja na baadaye ngazi ya Jimbo na fainali itakuwa ni ngazi ya taifa mkoani Mbeya.
Pia aliliomba kanisa la TAG kwa ujumla wake kuwa msimamizi wa Taifa kwa kuliombea na kutumika katika huduma za kijamii.
Mwisho alieleza maadhimisho hayo yataongozwa na mgeni rasmi Mh.Rais wa jamuhiri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete

 Waandishi wa habari Blogges wakiwa busy kuchukua habari

Kanisa la TAG, ambalo linaongoza miongoni mwa makanisa ya TAG, kukua kwa kasi nchini linatimiza miaka 75, tangu lianze nchini huku likienea kila mahali kuanzia mijini mpaka vijijini.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP