Masanja ni miongoni mwa waimbaji waliofanyikiwa kimaisha kwa sehemu flani,hili ni shamba analomiliki akijishughulisha na kilimo cha mpunga.Hiki ni chanzo kimoja wapo kinacho mpatia pesa mdau wangu.....Kutoka kwenye Instagram yake ameandika maneno hayo hapo chini.



0 comments: