Baada ya maneno mengi kuzaga kila kona ya Tanzania kwa wanandoa hawa wa wili.....Emmanuel Mbasha amefunguka na kuweka wazi anampenda mke
wake Flora Mbasha.Kupitia kipindi cha Amplifaya cha Millardayo siku ya jana,Emmanuel Mbasha amesikika akisema anampenda mke wake Flora hivyo anamuomba arudi nyumbani wale familia.Msikilize Mbasha akiongea na Millardayo hapo chini

0 comments: