Thursday, June 26, 2014

BEN POL KWENYE CHOMOZA YA CLOUDS TV THIS WEEK ON SUNDAY.

By Jimmy  |  8:44 AM No comments

 Baada ya kufanyika live recording ya Paul Clement siku ya J/pili iliyopita Chomoza ya Clouds TV ilimtafuta muimbaji wa Bongo flava BEN POL ambaye alikuwepo kwenye live recording ya Paul,ambapo katika tukio ilo BEN POL alionyesha mapenzi ya dhati katika kussuport kazi anayoifanya muimbaji Paul Clement kwa kuimba naye pamoja.
Kama Chomoza tulikua na maswali mengi
tunayojiuliza baada ya kumuona BEN POL (1)Ili kuaje kuaje BEN POL kuwepo katika tukio hilo (2)Paul Clement na yeye wana husiano gani (3)Alipoitwa mbele kuimba alijisikiaje (4)Anawaza kufanya Gospel Song na Paul siku moja (5)Zikifanyika event za Gospel akaitwa atakua tayari kufika?
Maswali yote haya mdau wangu BEN POL ameyajibu kwenye Chomoza ya Clouds TV....Usikose kumtazama BEN POL this week on Sunday kwenye Chomoza kuanzia saa 12:00 jioni hadi saa 1:00 usiku na marudio ni J/tatu saa kumi jioni hadi saa kumi na moja kamili.
 Samuel Sasali baada ya kuzungumza na Ben Pol ni mwendo wa kumbukumbu
Love ya pamoja

Jimmy Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

Related Posts

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By Bloggertheme9