Wiki hii kwenye Chomoza ya Clouds TV mwana muziki kutoka nchini Kenya Willy Paul utapata kumtazama na kufahamu historia ya maisha yake pamoja na kusikia jina jipya alilotoa kwenye muziki wa injili alipokuwa kwenye zihara ya muziki wa injili Marekani.Will Paul ni miongoni mwa waimbaji wanaofanya vizuri kwenye muziki wa Gospel Kenya.....kwa mengi zaidi mdau wangu tukutane J/pili saa 18:00 hadi saa 19:00 usiku kwenye Chomoza ya Clouds TV,na marudio saa 11:00 hadi saa 12:00 mchana siku ya J/tatu.
0 comments: