Chama Cha Muziki wa Injili Tanzania kinakuomba wewe mwimbaji na mdau wa
huduma ya Edson Mwasabwite kukutana kesho Jumatano 07/05/2014 ili
kupanga safari ya pamoja kwenda kumuona ndugu yetu Edson Mwasabwite
nyumbani kwake. Jitahidi sana tuonane saa 7:00 mchana bila ya kukosa.
Ukipata ujumbe huu mtumie na rafiki yako au ndugu yako, ukifanya hivyo
utakuwa umetusaidia kusambaza habari hizi kwa watu wengi.
Tangazo hili limetolewa na Chama cha Muziki wa Injili Tanzania.
0 comments: