Kampuni ya Rumafrica iliyopo Sinza afrika sana chini ya Director Rulea Sanga inakukaribisha kijana,Dada,Mama na Baba kujipatia flana za kisasa zenye muonekano mzuri nawa kijanja unaokwenda na wakati.Ujumbe ulio katika tshirts hizi utamkumbusha yule aliyemsahau Yesu Kristo kuwa mwokozi wake,utamkumbusha kumrudia kristo kama sehemu ya maisha yake.
Karibu Rumafrica kwa muonekano mzuri na wakupendeza......mdau wangu kuwa mzalendo kusupport kazi za vijana wenzetu.Wasiliana na mzee wa Rumafrica kwa simu +255 715 851523.
0 comments: