Filamu fupi iitwayo
"HUYU MUME" inakujia ijumaa hii kwenye kiwanda cha KINGDOM MEDIA kutoka ugaibuni USA.Blog ikiongea na CO Alex
amesemakua maandalizi yote yako tayari kumpatia
mtazamaji kile alichokua akisubiri kwa muda mrefu.
mtazamaji kile alichokua akisubiri kwa muda mrefu.
Chukua dakika zako chache kutazama Trailer ya HUYU MUME hapa kwa hisani ya Chomoza ya Clouds TV mdau wangu.
Waliosimama tokea kushoto ni
Jordan Joseck,Jordan, amb aye ni co-director, na pia cameraman, mwana dada
Mrembo Marthalitha Raphael, ambaye ameigiza kama Matilda, Freddy Suleiman
Okuku yeye ndiye mwandishi wa filamu na
co-director. Alex Joseck ameigiza
kama John, yeye ni camera assistant,
executive producer, editor na master wa post production work, na mrembo aliekaa
chini ni Upendo Benson ameigiza kama Dr. Jenista Washington. Usiikose filamu
hii yenye kusisimua na kufundisha itakayokuacha mdomo wazi.Mdau wangu toa support
kwa kazi za wasani wetu wa tasinia ya Gospel Tanzania…..Kwa habari zaidi kuhusu
Kingdom media ingia kwenye page yao Facebook…….www.facebook.com/kingdommediatv
ingia name u "LIKE" kama bado hujafanya hivyo.
0 comments: