Kama unadhani Kanisani kwenu kuna eneo la wazi ambapo Chomoza msimu wa kombe la Dunia tunaweza funga Big Screen na kuonesha mpira na wakati wa mapumziko tukafanya uinjilisti kwa dakika 5 kuvuna roho naomba tuwasiliane.
Sio lazima tutazame mpira bar tutatazama sehemu salama zaidi.
Revelations 4 Revolutions.
Chomoza World Cup.
0 comments: