Mheshimiwa Dr Hamis Kigwangala Mbunge wa Nzega na Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya TAMISEMI anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la kuhamasisha amani na upendo pia harambee ya uzinduzi wa Albamu ya 'Jiwe ni Jiwe' ya TPCT Dole Mndo.
Tamasha hili limeratibiwa na Makonelah records.Tamasha hili linategemea kuwa kivutio kwa watu wengi kutokana na umahili wa wanakwaya ya FPCT katika kuimba nyimbo zenye ujumbe wa kuhamasisha amani na Upendo katika jamii.Maandalizi mbalimbali kwa ajili ya tamasha yamekamilika na kikubwa kinachosubiliwa na muda tu.
0 comments: