Monday, April 21, 2014

T.D. JAKES ANAONGOZA KUWA NA FOLLOWERS WENGI INSTAGRAM.

By Jimmy  |  9:36 AM No comments

 
T.D. Jakes ni Pastor mwenye maono na mafunuo makubwa katika huduma yake ni Pastor aliye mcheshi na mwenye kujichanganya na watu mbalimbali katika jamii.Ikiwa jana siku ya Pasaka T.D. Jakes kupitia account yake Instagram akiwa anatumia jina la
(bishopjakes) ametupia picha akiwa na familia yake na kuishukuru kwa support kubwa anayopata kutoka kwenye familia hiyo kutokana na kuwa na huduma kubwa kwenye maisha yake.Mdau wangu hizi ni picha pamoja na matukio mbalimbali siku ya jana......unaweza kumfollo kwenye Instagram kwa matukio yake na habari zaidi au kutembela website yake http://www.tdjakes.org.Mtumishi huyu anaongoza kuwa na Followers wapatao 141,463.



 

Video ya igizo lililofanyika kanisani kwake jana hiyo hapo chini akiwa amepost Instagram.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP