Moja kati ya maoni tuliyopata kutoka kwako mdau wetu ni wewe kuweza kupata nafasi ya kuzungumza na sisi kupitia ujumbe mfupi katika simu yako ya mkononi.Napenda kuchukua furusa hii kukukaribisha kwenye famila ya (SEMA) ni mtandao utakao kuwezesha kutuma ujumbe mfupi kwa gharama sawa na mitandao yote ya simu na kutufikia popote tulipo.
Itakupa nafasi ya wewe mdau wetu kutoa maoni yako juu ya kile unachopenda kuona kwenye Msimu mpya wa Chomoza ya Clouds TV,kupiga kura kwenye Top 5 itakayo kujia kila J/pili kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa moja usiku.
Jinsi ya kutuma....nenda kwenye simu yako ya mkononi andika neno cmz kisha acha nafasi andika ujumbe wako na tuma kwenda namba 15678,gharama ni sawa na mitandao yote ya simu Tanzania.Karibu kwenye familia ya Chomoza ya Clouds TV msimu mpya.
0 comments: