Flora Mbasha muimbaji wa mziki wa injili amefunguka na kueleza dhamira yake ya kuingia kwenye siasa ifikapo mwaka 2015,endapo Mungu akimpa uzima.Flora mbasha aliyasema hayo alipokuwa akihojiwa akiwa na mume wake
kwenye The Sporah Show.Ukiacha hilo Flora alieleza mafanikio aliyopata kupitia mziki wa injili ikiwa kumiliki Gari zuri,Nyumba,Viwanja pamoja na kuwekeza katika ujasiria mali.Flora Mbasha atakuwa muimbaji wa kwanza wa mziki wa injili kuingia kwenye siasa Tanzania....unataka kujua mengine,ziko video mbili hapo chini msikilize mwenyewe kwa hisani ya Chomoza ya Clouds TV.
0 comments: