Wasani wa muziki wa Bongo Fleva,hiphop,Dance na Taarab pamoja na waimbaji wa Gospel wameungana pamoja kutengeneza wimbo wa kuhamasisha Muungano unaotoka mwezi wa 4 tarehe 26/2014 ambapo kutakua na kilele cha shuhuli nzima.Tazama ya picha ya Christina Shusho on set.
Kushoto ni Christina Shusho akiwa ameshika bendera ya taifa.
0 comments: