Chomoza Rejuvenation.....Revelations 4 Revolutions Msimu mpya wa Chomoza Ya Clouds Tv ndio Jumapili hii Saa 12 jioni unaanza rasmi, na Jumatatu kuanzia saaa 5:30 asubuhi mpaka saa 6:30 Mchana.
Kama kuna wimbo unataka Jumapili tu-ucheze kwenye Chomoza, ama kama Kuna Mwanamuziki wa Gospel unataka kusikia Wimbo wake basi kazi ni nyepesi.
1. Chukua Simu Yako.
2. Nenda kwenye sehemu ya sms
3. andika cmz kisha acha nafasi
4. Andika Jina la Mwanamuziki ama Wimbo unaoutaka tuucheze.
5. Kisha tuma kwenda 15678
Watakata gharama ya Kawaida Kabisa ya sms....
Jumapili hii tunakuja Kivingine Mnoooooo
0 comments: